Bungeni: Joseph Musukuma alalamikia TANESCO kuhusu bei ya kuunganishiwa umeme na kukatika kwa umeme

Wanaomuona Msukuma ana akili .... wao pia hawana akili...!!
 
Mh Msukuma ameuliza swali zuri sana, TANESCO iwasilishe ripoti za matengenezo miaka mitano iliyopita 2015 hadi 2020 kwenye kamati ya bunge. Mitambo isingeweza kuwa hai kama ingalifanya kazi bila service kwa miaka mitano hiyo. Sasa kama ilifanyika service, ilifanyikaje? na waliofanya si ni haohao?. Iweje service ya leo iwe na impact kubwa kiasi hiki?. Kimsingi Mh January hajajibu maswali ya Mh Msukuma, RHPP sio bure, Makamba punguza chenga weka mpira miguuni umjibu Mh.
😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…