Bungeni: Kamati ya Bunge yazitaja sababu zinazopaisha bei ya mafuta

Hivi yule aliyetoboa bomba la mafuta na kujipimia kwenye vidumu aliishia wapi
 
naomba ufafanuzi kwa
  • Namba 2
  • Namba 7
  • Namba 10
  • Namba 12
  • Namba 16
  • Namba 17
  • namba 18
  • Namba 21
Tofauti kati ya 18 na 21
Tofauti kati ya 19 na 23
 
Hahaha yani katika sababu zote za kupanda bidhaa hakuna sababu ya tozo ambayo iko wazi kabisa haha
Hii kamati imejaa uongo sana aiseee
 
Huu mchanganuo ni wa zamani kabla baadhi ya tozo kuondolewa au kupunguzwa
 
Hakuna sababu ya msingi hata moja, sababu ni wingi wa kodi na tozo
Wasitufanye sisi ni wajinga ,bei ya mafuta mpaka kufika bandari ya Dar ni. Shs 1,162.kifuatacho ni kujaza tozo na kodi mpaka kufikia hio 2,500+

Hizo sababu ni za kipuuzi tu ambazo hata athari yake sio kubwa.

Futa tozo na kodi zisizo na maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…