Elections 2010 Bungeni Kumekucha CHADEMA

Sasa cha kushangaza nini wakati mwenyekiti wake wa chama kinachotawala nchi amesemea ugenini kuwa hajui kwanini nchi yake ni maskini?
 
pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

Kuna wabunge wengi humo Mjengoni wakipiga madawati wanikumbusha mkwara wa Sokwe pale alindapo himaya yake. Atapiga miguu na mikono juu ya matawi na kulia kwa sana huku akitetema kwa hasira.
hiii
 
Mkumbusheni Bwana Lisu kwamba Singida wanataka maendeleo. Kwenda kujitafutia cheap popularity TBC1 Kwa kuuliza "gotcha questions" sio ishu wala nini.

Ushauri wa bure.

Ushauri wako hata ungekua ni wakulipia bado ni wa hovyo. Baki nao
 

Yapi tena hayo. Mtu kesha shikwa kawekwa ndani na Adadi pamoja na Manumba wakashindwa wakamwachia. Alimkaripia bila woga Manumba kwa kutaka kuwatisha Chadema. Suala ni kwamba hujui kuwa kuna watu ambao hawaogopi hao ambao nyie wengine hupend kuramna miguu yako. Kama unajua mapambano kwa wengine hayakuanza leo na mbinu za mapambano ya kisiasa na haki za binadamu hamzijui na hivyo ukiona mbinu kama hizi zinafanywa nchini unashituka kwani mumezoea kuamini kuwa viongozi ni kama wazazi kumbe ni watumishi na wanawajibika kwa wananchi. Nasema hivi katika nchi ya demokrasia kiongozi kama hajui kuwa ataambiwa kuwa yu uchi basi huyo ni bora aachie ngazi haraka kwani hivyo ndivyo ambavyo watafanyiwa bila kurudi nyuma. Mapambano yameanza na sasa yatapamba moto.
 
Ushauri wako hata ungekua ni wakulipia bado ni wa hovyo. Baki nao

kama hujui kazi ya kuleta maendeleo ni ya serkali na inaanzia bungeni pole kwa kuchakachuliwa dogo!
 
Members kwa kuongezea ni Tanzania, Botswana, DRC, Lesotho, Angola Madagascar,Malawi Mouritius,Moza mbique, Namibia,Seycheles, South Africa, Swazland, Zambia na Zimbabwe,, it is almost 15 countries in the SADC, jamani hawa Wabunge walisma Shule Gani?

Kwasababu Hizi za Tanzania lazima uzisome hizi Organisations,, kwenye Civics
 
has 15 member states, one of whose membership is currently suspended:
na Madagaska ni mpya ya sasasasa
 
Sasa hivi kuwafundisha CCM jinsi ya kutafuta Haki kwa kuwaelimisha watu wa Mataifa mbalimbali kwamba Tanzania hakuna Amani ya kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…