CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
HATIMAYE MHE MARIAM DITOPILE AMECHAGULIWA KWA KURA NYINGI KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA VIWANDA, BIASHARA, KILIMO NA MIFUGO.
======
Mbunge wa Wanawake kupitia Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Mariam Ditopile Mzuzuri amechaguliwa leo Februari 10, 2023 kushika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo.