CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Why not uwaziri kabisa, yuko Safi Sana hyu dadaHuyu binti apewe hata unaibu Waziri anafaa sana
Uwaziri wa kilimo kwa sasa anauwezea Mh Bashe, Hawa wengine wataishia kutumia mbinu za kizamani kwenye kilimoWhy not uwaziri kabisa, yuko Safi Sana hyu dada
Bashe anapambana sana ni kweli,Uwaziri wa kilimo kwa sasa anauwezea Mh Bashe, Hawa wengine wataishia kutumia mbinu za kizamani kwenye kilimo
CHADEMA inawabunge 20 unajua?Bunge la CCM ni mhuri wa chama kupitisha madudu wanayoyataka yawe sheria.
Sheria nyingi za kibaguzi zimetungwa
Kwani yeye Bashe kaleta teknolojia gani ya kisasa kwenye Kilimo?Uwaziri wa kilimo kwa sasa anauwezea Mh Bashe, Hawa wengine wataishia kutumia mbinu za kizamani kwenye kilimo
Huyu binti apewe hata unaibu Waziri anafaa sana
Huyo sio binti ni tomb boyHuyu binti apewe hata unaibu Waziri anafaa sana
..sio " kidume " huyu?
..ana mume au bwana?
..labda atapewa maana marehemu baba[ capt.ukiwaona ramadhani mwinshehe ditopile mzuzuri ] yake alikuwa rafiki mkubwa wa Mzee Kikwete.
Ni muhimu kuheshimu watu, jamii na hata taifa kwa ujumla.Alikuwa ni best man kwenye harusi yake JK inasemekana hata hakufa huyu Mzee ni janjajanja ilifanyika
Usitaharuki.Kama ameandika uongo,mrekebishe kwa kuuandika ukweli tu.Ni muhimu kuheshimu watu, jamii na hata taifa kwa ujumla.
Fikra na maelezo ya kijingajinga namna hii yasipewe nafasi kwa kuwa yanaweza kuharibu jamii na taifa.
Janjajanja ili nini? Mfumo jinai mwenye uamuzi wa mwisho ni Rais kwa mujibu wa sheria na katiba kwa wakati huo hadi sasa.
Unamuona Rais JK ni mjinga kiasi kwamba ashindwe kujua mamlaka yake ya kuamua kumuweka huru kisheria bila hiyo janjajanja ya kifo?
Yule Mzee alikufa Mwacheni apumzike jamaniNi muhimu kuheshimu watu, jamii na hata taifa kwa ujumla.