Bungeni: Mjadala wa Ripoti ya CAG unaendelea leo na utahitimishwa

Bungeni: Mjadala wa Ripoti ya CAG unaendelea leo na utahitimishwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mjadala wa Ripoti ya CAG unaendelea leo na utahitimishwa

Mubashara TBC

Nawatakia Sabato Njema 😀
 
Toothless
1699081314930.png
 
MbS aliposhika madaraka huko KSA aliwakamata watu zaidi ya 500 na wote wakiwa watu wazito kama ma princes na watu mashuhuri sana
Aliwaheshimu kidogo na kuwafungia Hotel ya Ritz na alifunga account zaidi ya 2000
Na private jets zilikuwa grounded zote ili wasitoroke

Kila mmoja aliambiwa kutoka lazima atoe hela na zilikusanywa $400b

Funga majizi
 
Mjadala wa Ripoti ya CAG unaendelea leo na utahitimishwa

Mubashara TBC

Nawatakia Sabato Njema 😀
Hakuna bunge hapa, kuna kusanyiko la waiba kura , machawa, na wahuni wa siasa uchwara za CCM
 
Mjadala wa Ripoti ya CAG unaendelea leo na utahitimishwa

Mubashara TBC

Nawatakia Sabato Njema 😀
Wasiishie kujadili tuu tunataka maazimio yenye maneno concrete vinginevyo tutawadharau Hadi kufa kwao.

Haiwezekani watu wanapiga pesa kienyeji na wanaachiwa.

Kama tatizo ni Nguvu ndogo ya Bunge walete Msaada binafsi Ili kubadili sheria itoe meno zaidi Kwa wabunge.

Wasisahau special audit
 
Back
Top Bottom