MbS aliposhika madaraka huko KSA aliwakamata watu zaidi ya 500 na wote wakiwa watu wazito kama ma princes na watu mashuhuri sana
Aliwaheshimu kidogo na kuwafungia Hotel ya Ritz na alifunga account zaidi ya 2000
Na private jets zilikuwa grounded zote ili wasitoroke
Kila mmoja aliambiwa kutoka lazima atoe hela na zilikusanywa $400b
Funga majizi