Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
HahahhaHuyo juu ndo kajifunika na kikoi kabisa 😁
Bungeni kulala!Huyo juu ndo kajifunika na kikoi kabisa 😁
Bunge la mipasho ya taarabu ni bunge kweli..?View attachment 3362989
Gazeti la leo Daily News pg2, kuna picha inaelezea kinaga ubaga hali ya mijadala Bungeni-HALINA MVUTO!
Wageni nimehesabu katika picha, wengine wamelala, mmoja kaja na shuka kabisa toka nyumbani. Mwingine yuko busy na simu.
Wawili wanasogoa.
Heko Bunge letu takatifu.
Mstari wa kwanza juu huko wa pili kutoka kulia jamaa yupo hoi kabisa kauchapa vizuri tena mdomo waziView attachment 3362989
Gazeti la leo Daily News pg2, kuna picha inaelezea kinaga ubaga hali ya mijadala Bungeni-HALINA MVUTO!
Wageni nimehesabu katika picha, wengine wamelala, mmoja kaja na shuka kabisa toka nyumbani. Mwingine yuko busy na simu.
Wawili wanasogoa.
Heko Bunge letu takatifu.
Ubaridi wa kiyoyozi.Huyo juu ndo kajifunika na kikoi kabisa 😁
Sio Kila mtu ana intererest na siasa.Bunge kuwa na mvuto ni kuwaje?View attachment 3362989
Gazeti la leo Daily News pg2, kuna picha inaelezea kinaga ubaga hali ya mijadala Bungeni-HALINA MVUTO!
Wageni nimehesabu katika picha, wengine wamelala, mmoja kaja na shuka kabisa toka nyumbani. Mwingine yuko busy na simu.
Wawili wanasogoa.
Heko Bunge letu takatifu.
Kuwa serious kidogo mkuu.Sio Kila mtu ana intererest na siasa.Bunge kuwa na mvuto ni kuwaje?
Pesa za per diem wamelipwa kwenda kulala bungeni?View attachment 3362989