Unaweza kukuta wageni ukute akina Luka na Genge lao.View attachment 3362989
Gazeti la leo Daily News pg2, kuna picha inaelezea kinaga ubaga hali ya mijadala Bungeni-HALINA MVUTO!
Wageni nimehesabu katika picha, wengine wamelala, mmoja kaja na shuka kabisa toka nyumbani. Mwingine yuko busy na simu.
Wawili wanasogoa.
Heko Bunge letu takatifu.
Nyumba ya ibada ikinajisiwa haiwezi kuwa tena takatifu mpaka itakaswe.View attachment 3362989
Gazeti la leo Daily News pg2, kuna picha inaelezea kinaga ubaga hali ya mijadala Bungeni-HALINA MVUTO!
Wageni nimehesabu katika picha, wengine wamelala, mmoja kaja na shuka kabisa toka nyumbani. Mwingine yuko busy na simu.
Wawili wanasogoa.
Heko Bunge letu takatifu.
Wabunge upinzani na CCM huwa hawalali yakijadiliwa maslahi yaoWabunge wenyewe hasa wa ccm huwa wanalala sana.
Huwa hawalali kwenye mjadala wa kuwashambulia wanaharakati au mwenyekiti wao akihutubia.
Hii ni dharau kwa Bunge zima!Aliyejifunika na shuka ndio kafunga kazi kabisa🤣🤣🤣
Kwamamlaka ya Bunge, ni Spika tu anaweza kuchukua hatua.Pesa za per diem wamelipwa kwenda kulala bungeni?
Taasisi husika wawachukulie hatua
Kwani hao wapiga usingizi ni wabunge?Kwamamlaka ya Bunge, ni Spika tu anaweza kuchukua hatua.
Kabisa mgeni mwalikwa unaenda kupiga usingizi bungeni aiseeeeHii ni dharau kwa Bunge zima!
Siyo wabunge lakini ni wageni wa Spika na Bunge!!Kwani hao wapiga usingizi ni wabunge?
Halina maana au limepoteza mvutoBungeni kulala!