Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ambaye pia ni mbunge wa Mbeya Mjini ametangaza kusitisha ziara mbalimbali bungeni.
Bunge limekuwa likipokea ziara za mafunzo kwa wanafunzi na makundi mengine, Naibu Spika amesitisha ili kuepuka msongamano wakati huu wa bunge la Bajeti.