Bungoma parents beat girl to death over

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Polisi Kaunti ya Bungoma nchini Kenya imeanza kuchunguza kifo cha Abigael Namukhosi(15) aliyefariki kutokana na kipigo kutoka kwa Wazazi wake

Baadhi ya majirani wanadai mtoto huyo alipigwa baada ya kulala kwa mpenzi wake siku ya Jumapili huku wengine wakidai ni baada ya kufeli mtihani wa darasa la 8

Jirani mmoja alikuwa baba wa mtoto, Meshack Barasa alimpiga hadi kumsababishia mauti huku mke wake akimfunga kamba na kumuadhibu vibaya

Kutokana na kipigo hicho alipata majeraha makubwa na alifariki baada ya kufikishwa katika Kituo cha Afya cha Ndalu siku ya Jumatatu

Kwa sasa Polisi inamshikilia mama wa Abigael, Gertrude Barasa katika kituo cha Polisi Ndalu huku baba yake akitafutwa bado
=====

Police in Bungoma County have launched investigations into the death of a 15-year-old in the hands of her parents.

Neighbours said the Abigael Namukhosi spent the night at her boyfriend’s house on Sunday.

Other sources claimed the minor was attacked after she failed to shine in her Standard Eight tests.
The Nation could not independently confirm any of the two allegations.

Abigael, who wrote her Kenya Certificate of Primary Education (KCPE) exams at Ndalu Primary, managed 277 out of 500 marks.

Mr Michael Simiyu, a neighbour, on Tuesday told the Nation that the man, identified as Meshack Barasa, beat his daughter to death when she arrived home.

"He and his wife tied up the girl to punish her. It happened in the afternoon," Mr Simiyu said.

RESURFACED
The girl, according to relatives and neighbours, disappeared in the evening and her parents had been looking for her since.

Bungoma North Officer Commanding Police Division Stephen Mwoni told the Nation that the girl resurfaced on Monday.

"The man used sticks to punish his daughter. Unfortunately, she sustained serious injuries," he said.

DIED
The girl was taken to Ndalu Health Centre where she died on arrival.

Abigael's mother Gertrude Barasa was taken to Ndalu police station as police began looking for him.

“The law will catch up with him soon,” Mr Mwoni said.

The body was taken to Cottage mortuary, Ndalu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…