Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Wizara ya Maji nawasalimu.
Bunju A maeneo ya Dogodogo Center hamna maji hii ni wiki ya 2 sasa, yalitoka siku moja tu ndio ikawa kimoja hadi leo. Mbona mnataka kutufanya ngamia wenzenu na hatupo kwenye jangwa?
Mpaka tuanze kununua ndoo moja elf 2 ndio mfurahi?
Kama kuna mgao useme, na huu hautakuwa mgawo wa kitoto. Tutakuwa tumeishiwa maji kabisaaa mpaka tunakaa wiki mbili tunaona maji siku moja tu tena kwa masaa machache.
Wizara ya Maji .... mawasiliano ya Jumaa Aweso inabidi yawe public aone jinsi ambavyo anazingua na watu wake.