Yaani mpaka reserve ya maji inaisha, hola Wizara ya Maji kimyaMkuu mbona tupo mtaa mmoja aisee!
Hili tatizo la maji limerudi kama 2018, maji yalikua shida sana huu mtaa.
Recently maji yamekuwa siyo masafi, wamekuwa wakisema wakifungua yale ya mwanzo yatakuwa na vumbi baadaye yataclear lakini hali hii haijabadilika muda mrefu... ni kama source (wao) siyo safiMimi kwangu bomba liliziba juzi kati ikabidi nichokoe chokoe kidogo kwenye koki ,
Lahaulaa vikaanza kutoka vipande pande vya chura aisee, ila ikagundua uchafu ni mwingi sana
Haya maji ndugu msinywe sio salama sana( Bagamoyo ,kerege)
Haswaaaa ndo tunachokitaka tutafurahi sanaMpaka tuanze kununua ndoo moja elf 2 ndio mfurahi?
Kaka mimi naoga bahariniKumbe una kaa mtaa mmoja na nusu albino Half american, uki ona rangi usi ulize sana ππ€£
Ilitakiwa aweke wazi kama amefuatilia kwa viongozi wake kujua kuna tatizo gani au sababu ipo iliyotolewa na kupelekea kutokea kwa changamoto hiyo. Aweke taarifa kamili ili nije nitoe majibu mazuri.Lucas Mwashambwa njoo ufananue why no water?
nawa hurumia watu wa dar, Wana kunywa vitu vya ajabuKaka mimi naoga baharini
Kama vipnawa hurumia watu wa dar, Wana kunywa vitu vya ajabu
Mimi kwa sasa nimeamua kunywa mkojo!!,naswaki kwa mkojo na chambia mkojo,piaWakuu,
Wizara ya Maji nawasalimu.
Bunju A maeneo ya Dogodogo Center hamna maji hii ni wiki ya 2 sasa, yalitoka siku moja tu ndio ikawa kimoja hadi leo. Mbona mnataka kutufanya ngamia wenzenu na hatupo kwenye jangwa?
Mpaka tuanze kununua ndoo moja elf 2 ndio mfurahi?
Kama kuna mgao useme, na huu hautakuwa mgawo wa kitoto. Tutakuwa tumeishiwa maji kabisaaa mpaka tunakaa wiki mbili tunaona maji siku moja tu tena kwa masaa machache.
Wizara ya Maji .... mawasiliano ya Jumaa Aweso inabidi yawe public aone jinsi ambavyo anazingua na watu wake.
Rangi yako πKama vip