Hee nyaka one huyu mtu ameshafariki? nini kili muua aiseeYou're my sweetie, my sugar, my baby, my lover...so honey let me hold ya, let me love ya, forever. Wo-eh.
Hayo ni maneno yaliyomo kwenye wimbo maarufu uitwao "You're my sweet, my sugar" au "Let me love you" ulioimbwa na mwanamuziki Bunny Mark kutoka nchini Sierra Leone.
Wimbo huu ulikuwa moja ya nyimbo maarufu sana mwanzoni mwa miaka ya 1980 pamoja na mwingine kama "Amioh" wa Nayanka Bell wa Ivory Coast (Cote d'Ivoire).
Wengine tulikuwa bado wadogo sana lakini tuna kumbukumbu nzuri ya huu wimbo kukubalika sana kipindi hicho.
Lakini daah! Sikujua kuwa huyu Bunny Mark alifariki July mwaka jana 2015. Kweli udongo haushibi.
Basi alifanya makosa wakamchukuaHaijawekwa wazi mkuu. Wamesema tu kuwa alifia London baada ya kuugua kwa muda mfupi. Pia jamaa alikuwa ni freemason akiwa na wadhifa mkubwa katika hiyo freemasonry.
Mara nyingi wao huzeeka au teseme huishi umri halali tuliopewa na mwenyezi MunguAaah aaaah. Kwani mkuu ukishakuwa freemason hauwezi kufa kifo cha kawaida hadi uchukuliwe baada ya kufanya mambo kinyume na matakwa yao?
sio kila baya linalompata mwanadamu hutoka kwa Mungu, hapa namaanisha kifo,ajali n.kMkuu hii ni habari mpya! Mimi ninachoamini ni Mungu tu ndiye umkinga binadamu na kila baya.
Karibu chamaniOooh. Basi ni jambo zuri.
Shukrani!Hapa sina lakini kwa vile wimbo wenyewe ni maarufu hauwezi kukosekana mtandaoni.
Pia mwezi huo huo wa July 2015 David Masondo yule mwimbaji kiongozi wa kundi la Soul Brothers kutoka Afrika ya Kusini alifariki. Nyimbo zake maarufu ni pamoja na Kulukhuni, Baba ka sbongile, Mantombazane, Intokazi na nyingine nyingi tu.Shukrani!
Aisee nakumbuka wimbo wao wa uyangilupha,Pia mwezi huo huo wa July 2015 David Masondo yule mwimbaji kiongozi wa kundi la Soul Brothers kutoka Afrika ya Kusini alifariki. Nyimbo zake maarufu ni pamoja na Kulukhuni, Baba ka sbongile, Mantombazane, Intokazi na nyingine nyingi tu.
Kikosi kizima cha simba na yangaAlikuwa na tatizo la figo. Alifariki akiwa na umri wa miaka 67 na kaacha jumla ya watoto 40. Si mchezo!