Nimeamua kuongezea hiii...
Badala ya kutengeneza maduara waweza pia tengeneza rose rolls...
rose roys tena bibie..
Hahahahaha ndio...
Nimekuja shosti ila hii nimeipenda ila kwanza this weekend naanza na Chinese Fried beef.... Nayo imenivutia
angalia tu mmeo asije kwenda kwa wanaojua kupika..