BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Nikiwa mdau wa biashara inayotumia dola kwa malipo mbalimbali, nimekuwa mhanga wa upotevu wa dollar. Leo imenibidi nieleze niliyoyaona.
Unaweza fika bureau change, na Kuna watu wengi wanabadilisha dollar, ukifika dirishani uweze kupatiwa dollar, wanakuambia hawana, hii ni uhujumu uchumi kabisa
Ili kukomesha hii hali inayohatarisha uchumi wa nchi, ni nashauri serikali izifungie burea change zote, na kuzifanyia audit kwa muda, ili kunusuru uchumi wa nchi
Naomba kuwasilisha