BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Kwa serikali ipi? Au hii hii inayomilikkisha kila kitu wageniNikiwa mdau wa biashara inayotumia dola kwa malipo mbalimbali, nimekuwa mhanga wa upotevu wa dollar. Leo imenibidi nieleze niliyoyaona.
Unaweza fika bureau change, na Kuna watu wengi wanabadilisha dollar, ukifika dirishani uweze kupatiwa dollar, wanakuambia hawana, hii ni uhujumu uchumi kabisa
Ili kukomesha hii hali inayohatarisha uchumi wa nchi, ni nashauri serikali izifungie burea change zote, na kuzifanyia audit kwa muda, ili kunusuru uchumi wa nchi
Naomba kuwasilisha
Umewahi kujiuliza kwanini zamani serikali ilikuwa imehodhi kila kitu, ni kwa sababu hizi za kipuuzi. Mmeachiwa mfanye biashara, badala mfate matakwa ya sheria, mnaihujumu serikali. Vifungiwe, wanaofata sheria kwa haki waruhusiwe. Ndio maana nimeshauri vifungiwe kwa muda halafu ufanyike ukaguzi kushirikisha mamlaka zoteSi kweli unachosema. Kwahiyo na wale wa vituo vya mafuta wanaosemaga mafuta hakuna nao serekali ifungie vituo vya mafuta kunusuru uchumi?
Sorry, sitakujibuUmewahi kujiuliza kwanini zamani serikali ilikuwa imehodhi kila kitu, ni kwa sababu hizi za kipuuzi. Mmeachiwa mfanye biashara, badala mfate matakwa ya sheria, mnaihujumu serikali. Vifungiwe, wanaofata sheria kwa haki waruhusiwe. Ndio maana nimeshauri vifungiwe kwa muda halafu ufanyike ukaguzi kushirikisha mamlaka zote