wadau naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu ulipaji kodi wa hizi bureau de change.Ukienda kubadili fedha wengi hawatoi risiti na cha ajabu leo nimedai risiti nikapewa ila sioni makato yeyote ya kodi kwenye risiti.Je hii ni sawa? Au hawa jamaa wanalipa vipi kodi?