Bureau de change zimerudi?

Posta pale samora mbona hamna kitu pale, niliingia mpaka mle ndani nyuma ya S.H .Amon holaa, ikabidi niende bank ya posta opposite na benjamin tower[emoji848]

Hizo hapo details. Inaonekana hauijui hata Samora Avenue iliko. Wewe hauko Dar; uko huko Tarime udanganya watu. Sasa S.H Amon iko Samora tangu lini ? wapigie simu hapo wakuelekeze uende ukapate huduma. Acha kuleta uongo hapa.
 
Jini mkata kamba kashatangulia mbele za Haki .
 
View attachment 1738628

Hizo hapo details. Inaonekana hauijui hata Samora Avenue iliko. Wewe hauko Dar; uko huko Tarime udanganya watu. Sasa S.H Amon iko Samora tangu lini ? wapigie simu hapo wakuelekeze uende ukapate huduma. Acha kuleta uongo hapa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] haaahaaaa

Sawa mkuu
 
Reactions: BAK
Nimeona bureau de change moja inaitwa Kadco. Je hawa wameufata vigezo gani hadi kuruhusiwa?
Zilikuwepo. Mlimani City Mall zipo mbili kitambo sana baada ya Magu kuingilia kati, plus zile za kwenye banks zote

Kilichofanyika though baada ya amari ya Magu ni kwamba rates za bureau hazikuwa zikipishana saaaaana na za bank. Infact kuna kipindi ilikuwa ni nafuu kwenda kuwazuia dollars bank kuliko bureaus de change
 
Zipo nyingi tu sasa....Ni kumfwata masharti mapya yaliyowekwa ikiwepo mtaji wa B moja
 
Kama ndiyo hivyo zile zilizovamiwa Dar na Arusha na kuporwa mamilioni kama si mabilioni kwanini wamiliki hawajafunguliwa mashtaka? Na pesa zao chungu nzima walizoporwa mbona Serikali imepiga kimya zilikuwa ni kiasi gani na pesa hizo ziko wapi?
Je, ulikuwa ni mkakati wa kuzifunga ili watu wawatakao wao wafungue za kwao?
Zipo nyingi tu sasa....Ni kumfwata masharti mapya yaliyowekwa ikiwepo mtaji wa B moja
 
View attachment 1738628

Hizo hapo details. Inaonekana hauijui hata Samora Avenue iliko. Wewe hauko Dar; uko huko Tarime udanganya watu. Sasa S.H Amon iko Samora tangu lini ? wapigie simu hapo wakuelekeze uende ukapate huduma. Acha kuleta uongo hapa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] haaahaaaa

Sawa mkuu

S. H Amon iko IPS Building ground floor, makutano ya Samora Avenue na Azikiwe.

Ramani hiyo hapo chini mkuu.

Mpemba Mimi ndo unatakiwa kujifunza Samora Avenue inakoanzia na inakoishia.

S. H Amon iko IPS Building ground floor, makutano ya Samora Avenue na Azikiwe.

Ramani hiyo hapo chini mkuu.

Mpemba Mimi ndo unatakiwa kujifunza Samora Avenue inakoanzia na inakoishia.

View attachment 1739166
Hili lipemba imebidi nicheke tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Liswahili, maneno mengi kumbe empty box halafu linaniletea uswahili wake mpaka PM[emoji57][emoji57]
 
Bureau na Bank nani alikuwa nafuu kusell dollar?[emoji849][emoji849]
 
ZILIFUATA SHARTI LA BOND YA BIL 1.?
 
Bureau na Bank nani alikuwa nafuu kusell dollar?[emoji849][emoji849]
Baada tu ya ile intervention ya Magu, kuchange dollar upate shilingi ilikuwa nafuu kuingia bank kuliko zile bureau de changes za nje japo nje walikuwa wanauza dollar kwa bei nafuu kidoogo

Banks nadhani target yao kubwa ilikuwa kukusanya dollars zaidi na kuzibania walizo nazo.
 
Sheria za BOT zilikua zinasema je mkuu.mpaka nyingi zikafungiwa biashara?
 
Hili lipemba imebidi nicheke tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Liswahili, maneno mengi kumbe empty box halafu linaniletea uswahili wake mpaka PM[emoji57][emoji57]

Hahaha, kumbe alikuwa anatafuta gia ya kuingilia PM.

Mimi nilianza kujiuliza labda barabara imebadilika jina amepewa kiongozi mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…