Bureau de change

RALO

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
46
Reaction score
13
Vip wadau,

Naomba mnieleweshe jinsi bureau de change zinavyofanya kazi,kama nikiwa nataka kuchange hela huwa naambiwa natakiwa niwe naangalia rate ila sijui hyo rate maana yake hasa katika mtazamo wa kiuchumi.

Asanteni sana
 
Kwenye bureau de change kuna bei aina mbili kwa maana ask and bid prices eg dola inaweza kuandikwa buy tsh 2150 sell 2200 maana yake ukiwa na dola unataka kuiuza wao (bureau de change) wanainunua kwa sh 2150 ila ukiwa na tsh unataka kununua dola wao (bureau de change) wanakuuzia 2200 na difference btn the two mdo faida yao
 

Hii biashara inalipa ama vipi?
 
Na taarifa zao za mabadiliko wanazitoa BOT ama mitandao huwa inatosha kuwa-update

Wanaripoti BOT moja kwa moja kila wakinunua au kuuza. Wapo on line ni kama EFD za TRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…