fungafunga
Senior Member
- Mar 30, 2010
- 116
- 155
Wanajamvi naomba kujua yule aliekuwa akitengeneza Burger pale kituo cha mafuta cha Total pale Morocco karibu na makao makuu ya Airtel Tanzania wapo wapi siku hizi?
Najua kuna wakati walihamia viwanja vya Leaders club ila baada ya hapo hawakuwahi huonekana tena.
Ninaomba mwenye anuani yao tafadhali anipatie. Natanguliza shukrani.
Pale nje opposite na gate la Leaders club ndio alipohamia.
Pale nje opposite na gate la Leaders club ndio alipohamia.
Wapo nje kabisa ya leaders. Upande wa kushoto kwenye geti la kuingia leaders.
Walitoka Morocco wakahamia Leaders club ndani ya uwanja. Baadae wakahama kutoka ndani ya viwanja vya Leaders wakahamia nje kwenye nyumba opposite na Leaders.
Walitoka Morocco wakahamia Leaders club ndani ya uwanja. Baadae wakahama kutoka ndani ya viwanja vya Leaders wakahamia nje kwenye nyumba opposite na Leaders.
Okay. Leta utamu wa Shamza
burger ndo nn
Chakula flani wanakula wale wakaka wanaovaa bukta za purple na kijani
Sent using Jamii Forums mobile app