Burget ya elimu mwaka 2013/2014 wa fedha.

minagirl

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
269
Reaction score
35
Ndugu zangu heshima kwenu,

naomba kujuzwa wizara ya elimu imepewa asilimia ngapi ya burget ya tanzania?

Naomba pia kama kunaanaejua wizara iliyopata asilimia kubwa zaidi ya zote.
Nawasilisha.
 
Ndugu zangu heshima kwenu,

naomba kujuzwa wizara ya elimu imepewa asilimia ngapi ya burget ya tanzania?

Naomba pia kama kunaanaejua wizara iliyopata asilimia kubwa zaidi ya zote.
Nawasilisha.

Burget ni kitu gani?

Mkuu kama we ni mwalimu basi sijui wanafunzi wako watakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…