Kwa mzazi inategemea na mwajiri wako atakavyo amua, taratibu zinamwelekeza kutoa ruhusa tu kwa mtumishi aliyefiwa na mzazi wake lakini kwa mwenza, mtoto au mtumishi mwenyewe mwajiri anawajibika kutoa gharama za jeneza, usafiri.
Sent using
Jamii Forums mobile app