Buriani Askofu Mstaafu Amos Luther Gimbi,KKKT Dayosisi ya Kati

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Maisha ya Mwanadamu mwisho wake ni kifo...Bila Shaka mwisho tunaouzungumzia ni hapa Duniani!
Lakini kwa Waamini kifo ni mwanzo wa Maisha mapya ya Watakatifu!
Mzee Amos Luther Gimbi baada ya Miaka 88 ya Huduma yake hapa Duniani alipumzika tarehe 28.09.2021 huko Marekani!
Askofu Dr.Gimbi alikuwa ni Askofu wa Kwanza wa Dayosisi ya KKKT Dayosisi Kati ,akianza Utumishi.wake mwwishoni mwa Mika ya 1980 Hadi 1990s.
Hakika Kanisa limepoteza Mzee ambaye alisaidia Sana kujenga kanisa Dayosisi ya Kati husasani katika kipindi ambacho kulikuwa na vugu la Uamsho ndani ya Kanisa mwishoni mwa miaka 1980s.
Atakumbukwa kwa busara na hekima zake za kutuliza Ukabila ndani ya Dayosisi ukiwahiusisha mawakala was Shetani waliotaka kitumia Unyiramba na Unyaturu kuligawa kanisa la Mungu!
Nakumbuka vuguvugu la Uchaguzi ule uliofanyika Chuo Cha Ualimu Kinapanda!
Pumzika kwa Amani Dr .Gimbi mwendo umeumaliza!
Mwili was Askofu Gimbi utawasili Dar es Salaam ,Siku ya Jumatatu tarehe 11.10.2020 .Baadaye kutakuwa na Misa Azania Front,kabla yya mwili kupelekwa Usharika wa Kola,mjini Morogoro,kwa Ibada nyumbani kwake .Baadaye utalala Dodoma na kusafirishwa Hadi Kijijini alikozaliwa Maluga ,Singida ambako ibada itafanyika ya kumuaga kabla ya Ibada ya Mazishi yatakayofanyika Kanisa Kuu Mjini Singida!
Kwaheri Baba Askofu!
 
Maisha ya Mwanadamu mwisho wake ni kifo...Bila Shaka mwisho tunaouzungumzia ni hapa Duniani!
Lakini kwa Waamini kifo ni mwanzo wa Maisha mapya ya Watakatifu!
Mzee Amos Luther Gimbi baada ya Miaka 88 ya Huduma yake hapa Duniani alipumzika tarehe 28.10.2021 huko Marekani!

Mungu amuweke mahali anapostahili!
 
Kiumbe chochote ambacho huwa kinazaliwa na mwanamke siku zake za kuishi hapa duniani huwa ni chache mno japo baba askofu amekula chumvi ya kutosha,pumzika kwa amani baba askofu
 
Mwili was Askofu Gimbi utawasili Dar es Salaam ,Siku ya Jumatatu tarehe 11.10.2020 .Baadaye kutakuwa na Misa Azania Front,kabla yya mwili kupelekwa Usharika wa Kola,mjini Morogoro,kwa Ibada nyumbani kwake .Baadaye utalala Dodoma na kusafirishwa Hadi Kijijini alikozaliwa Maluga ,Singida ambako ibada itafanyika ya kumuaga kabla ya Ibada ya Mazishi yatakayofanyika Kanisa Kuu Mjini Singida!
Kwaheri Baba Askofu!
Dar
Morogoro
Dodoma
Singida

Mbona mnamchosha marehemu
 
Maisha ya Mwanadamu mwisho wake ni kifo...Bila Shaka mwisho tunaouzungumzia ni hapa Duniani!
Lakini kwa Waamini kifo ni mwanzo wa Maisha mapya ya Watakatifu!
Mzee Amos Luther Gimbi baada ya Miaka 88 ya Huduma yake hapa Duniani alipumzika tarehe 28.10.2021 huko Marekani!
Askofu Dr.Gimbi alikuwa ni Askofu wa Kwanza wa Dayosisi ya KKKT Dayosisi Kati ,akianza Utumishi.wake mwwishoni mwa Mika ya 1980 Hadi 1990s.
Hakika Kanisa limepoteza Mzee ambaye alisaidia Sana kujenga kanisa Dayosisi ya Kati husasani katika kipindi ambacho kulikuwa na vugu la Uamsho ndani ya Kanisa mwishoni mwa miaka 1980s.
Atakumbukwa kwa busara na hekima zake za kutuliza Ukabila ndani ya Dayosisi ukiwahiusisha mawakala was Shetani waliotaka kitumia Unyiramba na Unyaturu kuligawa kanisa la Mungu!
Nakumbuka vuguvugu la Uchaguzi ule uliofanyika Chuo Cha Ualimu Kinapanda!
Pumzika kwa Amani Dr .Gimbi mwendo umeumaliza!
Mwili was Askofu Gimbi utawasili Dar es Salaam ,Siku ya Jumatatu tarehe 11.10.2020 .Baadaye kutakuwa na Misa Azania Front,kabla yya mwili kupelekwa Usharika wa Kola,mjini Morogoro,kwa Ibada nyumbani kwake .Baadaye utalala Dodoma na kusafirishwa Hadi Kijijini alikozaliwa Maluga ,Singida ambako ibada itafanyika ya kumuaga kabla ya Ibada ya Mazishi yatakayofanyika Kanisa Kuu Mjini Singida!
Kwaheri Baba Askofu!
Fafanua vizuri tarehe ya kupumzika.
 
Back
Top Bottom