Buriani: Babu wa Loliondo kuzikwa kesho kijijini Samunge

Babu alikuwa Mchg,so huduma ya mazishi ikoje na kikombee
 
Mzee aliwaingiza chaka watu wengi sana. RIP. Siamini hata kidogo kama kile kikombe alipewa na Mwenyezi Mungu. Sijui nani aligundua udhaifu wetu akaamua kujenga hoja
 
Atajitokeza Masai kuendeleza huo mchuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…