BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,006
Duh siamini ila sasa nimejua kila.mjanja ana mjanja wake. Huyu jambazi katesa sana watu kaua sana madereva wa bodaboda za Mombasa.
Alikuwa akikamatwa anafikishwa polisi mnajua anaishia huko wiki inayofwata anatoka na kufanya mara mbili ya aliyofanya huko nyuma.
Pongezi kubwa Mh. Mambosasa na kikosi kazi chako. Nahisi wote waliokuwa naye sasa wataacha
Lala Kambale pumzika dunia ilishakuchoka.