Wale huandika RIP huwa hakuna neno lingine kama marehemu yuko upande wa pili?
Dunia na tanzania tumepata pengo kubwa na hitazibika kwa kuondokewa na huyu kambaleMarehemu alikua mtu mzuri sana
Marehemu alikua hapendi ugomvi na mtu
Tutamkumbuka marehemu kwa jinsi alivyojitoa kwa jamii
Hakika tumeondokewa na kijana tulie muhitaji sana
Eeeh baba tusaidie maana tunapitia kpindi kigumu
Siku ya mazishi yatasikika hayo maneno
Nlikutana naye siku mojaDuh siamini ila sasa nimejua kila.mjanja ana mjanja wake. Huyu jambazi katesa sana watu kaua sana bodaboda za Mombasa.
Alikuwa akikamatwa anafikishwa polisi mnajua anaishia huko wiki inayofwata anatoka na kufanya mara mbili ya aliyofanya huko nyuma.
Pongezi kubwa Mh. Mambosasa na kikosi kazi chako. Nahisi wote waliokuwa naye sasa wataacha
Lala Kambale pumzika dunia ilishakuchoka.
GTH = Go To HellWale huandika RIP huwa hakuna neno lingine kama marehemu yuko upande wa pili?