Once again, Msasani Village tùmepatwa na pigo kubwa. Huu ni mfululizo wa vifo vya kaka zetu, dada zetu na baba na mama zetu.
Leo nasikitika kuujulisha umma juu ya kuondokewa ña mzee wetu Pius Gogadi. Pius Gogadi alikuwa ni maadifu majengo mkuu wa shirika la nyumba la taifa NHC
MKE wa maremu, bi Rhoda alishatangulia mbele ya hàki. Rhoda alikuwa ni mwajiriwawa JESHI LA WANANCHÌ WA TANZANIA.
MUNGU AZÌWEKE MAHALI PEMA PEPONI ROHO ZA MARÈHEMU