Buriani mzee wetu Edwin Mtei: Chadema wajue kuwa kifo hakina mwenyewe

Ccm hamna wema huo, msitake cdm wahudhurie kwenye misiba yenu ili waonyeshe kuna ushirikiano huo. Cdm hawataki mahusiano ya kinafiki. Unazingua hakuna mwenye muda na wwz iwe kwenye shereha ama msiba. Viongozi wa ccm wanahudhuria kuuaza sura ili waonekane wana utu, lakini uhalisia wa matendo yao unakataa.

Na kwa kukusaidia, Samia hakutika Tanzania rasmi kwenda Nairobi ama Ubeligiji kwenda kumtembelea Lisu, yeye alikuwa na safari zakez akaona auze sura kuwa kaenda kumtembelea Lisu. Usitake kumpa wema wa maigizo wakati anaendesha kundi la utekaji. Kama ana wema huo mbona hakutoa ripoti ya kifo cha Ali Kibao, ama kumrudisha Polepole? Pelekeni ushubwada mbali.
 
Kuna kufa na kulala.
Wazee (over 80 years) hawafi, hulala usingizi wa milele.
Hupumzika baada ya kuvipiga vita vizuri na kumaliza mwendo.
 
Kuna kufa na kulala.
Wazee (over 80 years) hawafi, hulala usingizi wa milele.
Hupumzika baada ya kuvipiga vita vizuri na kumaliza mwendo.
Nani alikudanganya eti wazee wa miaka 80 hawafi wanalala?

Mungu ni muadilifu haangalii ulikufa kijana au mzee anaangalia umetenda mema au la hizo porojo nyingine kawadanganye wanademokrasia wenzako
 
Sasa Mzee ana miaka 94
Umri mkubwa na heshima
Ametimiza kisudi lake vyema kabisa
 
Nani alikudanganya eti wazee wa miaka 80 hawafi wanalala?

Mungu ni muadilifu haangalii ulikufa kijana au mzee anaangalia umetenda mema au la hizo porojo nyingine kawadanganye wanademokrasia wenzako
Mpango wa asili (Mungu) upo tangu enzi na enzi. Viumbe hai kumaliza uhai wake wakati muafaka kwa mpangilio wake maalum (kuzaliwa, kukua na kuzeeka).
Si yo mpango wa Mungu vijana kufa (ni kujidanganya).
Elimu kuhusu Mungu inahitajika Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…