Buriani rafiki yangu Wendo Mwapachu

Mwaka huo wa 1963 Bilal Rehani Waikela akakabiliana na Nyerere katika risala aliyosoma mbele yake katika ufungaji wa Muslim Congress iliyofanyika katika ukumbi wa Shule ya Aga Khan ya Wasichana.

Mzee Bilal (wakati huo Kijana) alipotakiwa kuchagua moja kati ya Siasa/Chama(TANU) na Muslim Walfare Societ ndipo rasmi akaachana na TANU kubaki na Muslim Walfare Societ.

Sipo kwenye aina ya misimamo yake, ila Mzee ni mfano wa Watu wenye misimamo thabiti kwa kile wanachokiamini, tofauti kabisa na Wanasiasa tulionao leo hii, wepesi sana ambapo wakitikiswa kidogo tu wanafuata upepo.
 
May Day,
Naomba utosheke kuwa hawa ni ndugu wa damu.
 
Mwapachu kafariki 1962
Sheikh Amri Abeid mwaka 1963..
Fundikira alishafukuzwa cabinet mwaka huo ..
Prominent Muslims were becoming even more fewer in the government..
Waislam akili yenu huwa haiwazi nje ya uislamu.Kila kitu lazima mkihusishe na uislamu,mkienda mpirani mnaangalia refa dini gani,kocha dini gani wachezaji dini gani,mkienda sokoni mnaangalia muuza Nazi dini gani nk.
Kuweni huru fikirieni vitu nje ya uislamu.
 

Ni kama Jews after Hitler..
Lazima uulize before Hitler ilikuwaje..
Wewe hukupitia 'holocast'..
Wale waliopitia holocaust ndo wanajua umuhimu wa Ku keep records..

Watu walienda udsm na kujikuta wako 7 Tu
Kina Seif na lipumba ..na hapo ni mwaka 1971..ten years after independence
Wakati Nyerere aliahidi Equal education na marginalised group 1961..

We know the history.....

Ni Sawa useme Why Blacks wanalalamika wakikamatwa na Polisi ..si waache uhalifu?
Wewe hutaelewa .
 
Marafiki zako wanazidi kukuacha...weka mambo yako sawa na muumba wako
 
Mwapachu kafariki 1962
Sheikh Amri Abeid mwaka 1963..
Fundikira alishafukuzwa cabinet mwaka huo ..
Prominent Muslims were becoming even more fewer in the government..
Shaaban robert 1962
Mwanamuziki salum abdala 64 au 65
 
Hapo nyerere alikuwa sawa,hili ni baraza la Tanu au baraza la msikiti
 
The Boss,
Umenishtua sana.
Kumbe sikuwa nakujua.

What eloquence!
Jibu mujarab.

Mashaallah.
 
Hapo nyerere alikuwa sawa,hili ni baraza la Tanu au baraza la msikiti
Mdukuzi,
Hili baraza wakati Nyerere anafika Dar es Salaam kalikuta linapambana na ukoloni na likawepo hivyo wakati wa kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.

Baraza hili chini ya Mwenyekiti Sheikh Suleiman Takadir likampokea kwa wema na mapenzi makubwa alipoungananao kupigania uhuru wa Tanganyika.
 
Acha kumtisha basi,huyu hata 70 hajafika
Mdukuzi,
Wako wanaotishika wakisikia kifo na wako wasiotishika wakisikia kifo.

Mimi nina miaka 69.

Umri wa kuishi wa umma huu ni miaka 60 au 70.

Wengi hufa kati ya 60 na 70 na takwimu zinathibitisha hili.

Mtume SAW anasema mtu mwenye akili nzuri ni yule anaekikumbuka kifo.

Nami dua yangu siku zote ni kuwa nisighafilike na kifo.

Nami leo nakushukuru wewe kwa kunikumbusha kufa.
 
Mdukuzi,
Hili baraza wakati Nyerere anafika Dar es Salaam kalikuta linapambana na ukoloni na likawepo hivyo wakati wa kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.
Lengo la nyerere ilikuwa ni kuleta sura ya kitaifa kwenye mambo mengi ndio maana hata shule za kanisa alizitaifisha japo ye mkatoliki, machifu akawafuta japo ye mtoto wa chifu,kumuelewa nyerere haijawahi kuwa rahisi
 
Ni kweli kufa hakuzoeleki jirani yako marijani aliimba kuhusu rufani ya kifo,bado tunahitaji nondo zako Mungu ikimpendeza akupe maisha marefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…