BURIANI Sultan Jamshid BIN Abdulla BIN Khalifa (1926 - 2024)

Hata wewe mwenyewe ni kafiri tu
 
Je kwa nini Sultan Jamshid alikwenda kuwinda nguruwe na watu 500?
 
Kama kwao ni Oman Zanzibar alifata nini? Kama issue ni kilimo au biashara angefanya hayo tu sio kutawala
 
issue siyo weusi wa mweka andiko kinachotetewa hapa ni dini. Laiti huyu Sultan angelikuwa wa dini tofauti na mwandishi angelipakwa kila aina ya uovu.
ingekua dini yao ya maana san wangejifunz ata kwa kimakonde..ila kwa vile ni utumwa lazma iwe kiarabu na ukishindw wew hufai😆
 
Mbona kama Mzee Said anatuvuruga? @ Paschal tunaomba utunyooshee maelezo na historia iwekwe sawa.....ina maana Sultan hakufanya ...udhalimu unaosemwa na kuandikwa sana? Heshima ya mapinduzi Matukufu kumbe ni uongo? Utumwa dhuluma udhalilishaji mateso etc....tunaomba sana tuwekane sawa hapa....
 
Huyu mzee kafumbwa na udini kiasi kwamba kwa kuwa Jamshid ni muislamu basi anataka kutumia kalamu yake kuficha maouvu aloyafanya
 
Waliopanga mapinduzi ni waislam na ndo waliendelea kutawala visiwa au huyo sultan ni mtume kwamba ni Haram kupinduliwa?

Je watawala baada ya mapinduzi walikuwa makafiri?
Much...
Mipango ya mapinduzi ilifanyika Tanganyika na Zanzibar.

Tanganyika sehemu inayoitwa Kipumbwi, Tanga iliwekwa kambi ya Wamakonde kutoka Shamba la Mkonge la Sakura kuwafunza mbinu za kupigana.

Hawa Wamakonde walivushwa kuingia Zanzibar kushiriki uchaguzi na mwaka wa 1964 walishiriki kama askari mamluki kupindua serikali ya Sheikh Mohamed Shamte.
 
Sasa sultan alikimbia Nini kama aliyepinduliwa ni shamte?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…