Buried ukiwa unaangalia hii filamu kichwani mwako futa kabisa kitu kinachoitwa happy ending

Buried ukiwa unaangalia hii filamu kichwani mwako futa kabisa kitu kinachoitwa happy ending

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Filamu nyingi zimetukaririsha kuwa staa akiwa kwenye changamoto basi mwisho wa picha atafanikiwa kukabiliana na changomoto zake wanaita mwisho mzuri(happy ending). Kwenye filamu ya BURIED sahau kabisa kuhusu happy ending.


images (2).jpeg


Hii filamu ni masterpiece kwa ufupi starring anajikuta kwenye jeneza amezikwa baada ya kupata fahamu na vitu alivyonavyo ni simu, kiberiti na tochi anajaribu kucontact watu kadhaa ili waje kumuokoa badluck inashindikana.

Jaribu kujiweka kwenye position yake kwamba unashtuka upo kwenye jeneza umezikwa reaction yako ya kwanza itakuwa ni nini? Kisaikolojia tayari unakuwa ushafeli lazima upaniki

Movie mwanzo mwisho ni kwenye jeneza lakini inakupa motisha ya kuitazama kwa shauku ya kujua ni nini kitatokea technically hii filamu ni kali bonge la storyline na creativity Incase hujaitazama basi jitahidi upate wasaa wa kuiangalia and believe me hautojuta
 
Mwanzo mwisho sehemu moja ila movie kali, unacheza na substitutes tuu 😂
 
Back
Top Bottom