Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Rais wa zamani wa Burkina Faso, Roch Kaboré, amepewa "uhuru kamili" na majenerali wa kijeshi waliompindua katika mapinduzi mwezi Januari katika juhudi za upatanisho wa kisiasa
Bw Kaboré aliruhusiwa kurejea katika nyumba ya familia yake katika mji mkuu, Ougadougou, mwezi Aprili baada ya kuwekwa katika kizuizi cha nyumbani tangu mapinduzi hata hivyo hakuwa huru kuhama, kupokea wageni wala kuwasiliana
Kiongozi wa Kijeshi, Kanali Paul-Henri Damiba alikutana na Rais Kaboré mwezi uliopita ili kujadili usalama, mpito kwa utawala wa kiraia na masuala mengine ya maslahi ya kitaifa
.................................................................
Burkina Faso’s former president, Roch Kaboré, has been granted “total freedom” by the military generals who overthrew him in a coup in January.
The move is part of reconciliation efforts, the Radio Omega website reported
Mr Kaboré was allowed to return to his family home in the capital, Ougadougou, in April after being placed under house arrest since the coup.
His party, the People's Movement for Progress (MPP), said the former leader has since "neither been free to move, free to receive certain people nor to communicate".
The military junta on Sunday reaffirmed “the total release of the former head of state” as part of “dynamics of strengthening social cohesion and national reconciliation”.
Junta leader Lt Col Paul-Henri Damiba met Mr Kaboré last month to discuss security, the transition to civilian rule and other matters of national interest.
SOURCE: BBC