Burkina Faso: Jeshi lateua Waziri Mkuu wa Mpito

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Albert Ouedraogo (52) ametangazwa kuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo kwa kipindi cha Mpito. Uteuzi wake unakuja siku chache baada ya Jeshi chini ya Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba kuidhinishwa kuongoza kwa miaka mitatu

Ouedraogo ambaye ni Raia wa kawaida ana jukumu la kuunda Serikali Mpya ambayo jukumu lake kubwa litakuwa kudhibiti ghasia ambazo zimegharimu maisha ya maelfu, na kupelekea Raia wengine takriban Milioni 1.5 kukimbia Makazi yao

=======

Burkina Faso's military junta has appointed Albert Ouedraogo as the new transitional prime minister, a decree from the military leader said on Thursday.

Mr Ouedraogo, a 52 year-old economist, was said to have experience in management of public administrations, development projects and private companies.

He will form a government whose main task will be to secure the country from an Islamist insurgency that has killed thousands and forced at least 1.5 million people to flee their homes.

Col Paul-Henri Sandaogo Damiba was on Wednesday sworn in as interim president for three years after seizing power in a military coup last month.

Source: BBC
 
HUKO NAKO KAZI IPO
 
Back
Top Bottom