Burkina Faso wamezindua gari ya kwanza ya umeme: Wanaiita ITAQUA EV!

Burkina Faso wamezindua gari ya kwanza ya umeme: Wanaiita ITAQUA EV!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Mapinduzi ya EV yanazidi kushika moto, na Burkina Faso kama moja ya nchi za Africa, hawapo nyuma.
IMG_1490.jpeg

Wamekuja na chuma ITAQUA EV yenye range ya 300 km.
IMG_1489.jpeg

Taarifa zaidi kuhusu gari kama bei, upatikanaji, perfomance na models hazijawekwa officially, ila ni mwanzo mzuri kwa nchi kama hiyo na iwe chachu kwa Tanzania.
IMG_1491.jpeg

Asanteni.
 
Mobius za Kenya tu hapo Jirani hatuzioni bongo au basi za ev za Uganda hata zingetumika kwenye mwendo kasi, hapo utajua waafrika hawathaminiani
 
Mbona nimeona neno Itaoua SA sio extension ya kampuni la South Africa?
 
Ila kama hapo hayupo mchina basi msouth anahusika ...............sisi weusi sana tupo na tumekuja kwa ajiri ya kupoka na kung'ang'ania madaraka tu na sio kingine
Hilo lipo kwenye biashara zote duniani mfano apple ananunua vifaa vingi tu kwa samsung
 
Mapinduzi ya EV yanazidi kushika moto, na Burkina Faso kama moja ya nchi za Africa, hawapo nyuma.
View attachment 3216444
Wamekuja na chuma ITAQUA EV yenye range ya 300 km.
View attachment 3216445
Taarifa zaidi kuhusu gari kama bei, upatikanaji, perfomance na models hazijawekwa officially, ila ni mwanzo mzuri kwa nchi kama hiyo na iwe chachu kwa Tanzania. View attachment 3216446
Asanteni.
Mleta mada, ni kosa kubwa kukosea jina la kitu unachohabarisha jamii. Kweli huoni tofauti ya Q na O ?
Ni ITAOUA
 
Back
Top Bottom