Burkina Faso wamezindua gari ya kwanza ya umeme: Wanaiita ITAQUA EV!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Mapinduzi ya EV yanazidi kushika moto, na Burkina Faso kama moja ya nchi za Africa, hawapo nyuma.

Wamekuja na chuma ITAQUA EV yenye range ya 300 km.

Taarifa zaidi kuhusu gari kama bei, upatikanaji, perfomance na models hazijawekwa officially, ila ni mwanzo mzuri kwa nchi kama hiyo na iwe chachu kwa Tanzania.
Asanteni.
 
Duh! Watu wako siriasi . Siku moha Tanzania tutayahona haya
 
Mobius za Kenya tu hapo Jirani hatuzioni bongo au basi za ev za Uganda hata zingetumika kwenye mwendo kasi, hapo utajua waafrika hawathaminiani
 
Mbona nimeona neno Itaoua SA sio extension ya kampuni la South Africa?
 
Ila kama hapo hayupo mchina basi msouth anahusika ...............sisi weusi sana tupo na tumekuja kwa ajiri ya kupoka na kung'ang'ania madaraka tu na sio kingine
Hilo lipo kwenye biashara zote duniani mfano apple ananunua vifaa vingi tu kwa samsung
 
Mleta mada, ni kosa kubwa kukosea jina la kitu unachohabarisha jamii. Kweli huoni tofauti ya Q na O ?
Ni ITAOUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…