Katika Eneo moja linaitwa Ouagadougou Nchini Burkina Faso, Mapinduzi ya Teknolojia yanazidi kushika kasi baada ya Watoto walio na umri wa miaka 7 kupewa ujuzi wa kutengeneza Roboti.
Watoto wao waliweza kujifunza mambo mbalimbali kuanzia coding, robotics, electronic, mechanical kupitia shule inaitwa PSCHOOL yani Programming School.
Tizama video yake ๐๐ Tanzania tunashindwa nini !!!!