SI KWELI Burkina Faso yalipa deni lote la taifa

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Wewe unayo simu ya kupapasa unashindwaje kuipapasa na ukapata ukweli, mbona ya hovyo unaweza kuyapata unashindwaje hili!
Bado haujaweza kujibu swali...........swali ni weka document,references,credible source inayoonesha Burkina Faso wameweza kulipa deni lao lote
 
Maeneo kama haya Bwana Mengele huwezi kumuona kabisa mzee wa mama ongea na Chawa kila siku ni kutafuta fursa anapigaje😂😂😂😂Sie tutasubiri sana Tunapitia kipindi kigumu mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…