Burkina Faso yamtaka Mkuu wa UN kuondoka mara moja

Burkina Faso yamtaka Mkuu wa UN kuondoka mara moja

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Serikali ya Kijeshi ya Nchi hiyo imemtaja kiongozi huyo wa Umoja wa Mataifa, Barbara Manzi kuwa ni mtu ambaye hatakiwi kubaki Nchini humo

Waziri wa Mambo ya Nje, Olivia Rouamba amesema tamko la UN la hivi karibuni kuwa machafuko yanayotarajia kutokea Burkina Faso yanasababishwa na udini yamelichafua taifa hilo na kukimbiza wawekezaji

Uasi umetajwa kumewakimbia watu milioni mbili na kusababisha mapinduzi mawili ya kijeshi ndani ya mwaka mmoja, wengi waliokimbia makazi yao wanaishi katika kambi zinazosimamiwa na UN.

========== ========

Burkina Faso tells UN country chief to leave

Burkina Faso has ordered the top UN official in the country to leave immediately.

The military government declared UN resident coordinator Barbara Manzi "persona non grata".

Foreign Minister Olivia Rouamba said recent statements by the UN official warning of impending chaos caused by the Islamist insurgency had discredited Burkina Faso and put off potential investors.

The insurgency has already displaced nearly two million people, and prompted two military coups within a year.

Many of the displaced live in camps run by the UN.

Source: BBC
 
Muda umefika wa kuachana na UN..ni chombo kinginge cha kikoloni kuyatawala mataifa madogo.
Kivipi wewe huoni taarifa aliyoitoa Ipo clear. Nchi za Afrika zikiendelea kuyachekea haya makundi ya kijihad watavuna mabua.
 
Ugaidi wanaouona UN ni wa waislamu tu.Unaofanywa na US na mataifa ya NATO wanaufumbia macho.
Tengeneza definition yako ya ugaidi, sisi tunayoijua ni kitendo Cha kutekelezwa mauaji ya watu wengi ama kutaka kudhuru jamii kubwa Kwa malengo ya kutaka kujipatia umaarufu wa kisiasa na kueneza chuki za kidini. (Case study ni milipuko ya kujitoa mhanga ya waislam).
 
Umetengeneza definition yako isiyo na mashiko kabisa.
Kama ni kuuwa watu wengi taja baadhi ya hao wanaofanya hivyo ili tulinganishe nani ataangukia kwenye kipengele hicho
 
Umetengeneza definition yako isiyo na mashiko kabisa.
Kama ni kuuwa watu wengi taja baadhi ya hao wanaofanya hivyo ili tulinganishe nani ataangukia kwenye kipengele hicho
Taliban, Hitler, Sadam mauaji ya wakurudi, Islamic states, Osama, Boko Haram huko Nigeria, Chadi, na Sasa Bukina Faso, Al shabab na wengine
 
Tengeneza definition yako ya ugaidi, sisi tunayoijua ni kitendo Cha kutekelezwa mauaji ya watu wengi ama kutaka kudhuru jamii kubwa
Dawa yenu ni kuchinja tu na kila mkizidisha chuki ndivyo mtazidi kuchinjwa tu
Kwa malengo ya kutaka kujipatia umaarufu wa kisiasa na kueneza chuki za kidini. (Case study ni milipuko ya kujitoa mhanga ya waislam).
Hata mimi mkinikalia sawa nachinja tu
Na wapige bannnnn potelea mbali
 
Wewe umeshawahi ku
Ila kufirana hamjaona, bullshit double standard na michuki yenu ya kikafiri hiyo

Dawa yenu ni kuchinja tu na kila mkizidisha chuki ndivyo mtazidi kuchinjwa tu

Hata mimi mkinikalia sawa nachinja tu
Na wapige bannnnn potelea mbali
*****?
 
Taliban, Hitler, Sadam mauaji ya wakurudi, Islamic states, Osama, Boko Haram huko Nigeria, Chadi, na Sasa Bukina Faso, Al shabab na wengine
Ulishuhudia au ulisikia.Kama hukushuhudia ulisikia ilikuwa kutoka kwa nani.Jee aliyekuletea habari ana sifa za kuaminika.
Matarajio makubwa itakuwa ulisikia kutoka CNN na BBC wakiongozwa na UN.
Hawa jamaa hata wenyewe hujishtukia baada ya kudanganya sana. Walifanya hivyo kwa Saddam Hussein lakini Han Blix alikataa uongo huo.Na wamefanya sana.Wameuwa sana mpaka kwenye maharusi na matanga.
 
UN juzi goma mmetimuliwa leo huko!

Kuna siri moja nilipewa UN ni refa kwenye machafuko kwa hiyo mda wote anataka kuona mkiendelea kutwangana ili wafanye yao .tena kwa africa
 
Makundi ya kigaidi yasionewe haya. Hatuwezi kuwa na dunia ambayo wajinga fulani wanataka kulazimisha imani yao kwa wengine, hilo halipo kabisa.
 
Huu upumbavu wa international based order uondoke tu,UN ife,Unipolar world ife.

Welcome to the 'Multipolar world'.
 
Hizi nchi za Afrika wazungu wangeziacha ziendelee zinavyotaka zenyewe. Wao wajiweke kando kabisa.

Maana watawala wa Afrika na Waafrika wenyewe hawajielewi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ukiwaacha, siku mbili tu wanapigana na kufa njaa, wanarudi kuomba misaada kwa sababu wao ni Waafrika.
 
Back
Top Bottom