Habari wadau mambo vipi jamani......Kwa mara nyingine tena nilikuwa naomba msaada wenu maana nimeangaika nimeshindwa labda wadau hapa mtakuwa mnafahamu.............Nilikuwa nimedownload video kutoka youtube sasa nilikuwa nataka niziamishie kwenye DVD lakini sasa mimi natumia Realplayer lakini sasa hiyo realplayer inakataa kabisa kuburn inakubali kuburn only CD sasa kuna sotware nyingine zaidi ya hii realplayer ninaweza kutumia kuburn VIDEO NILIZODOWNLOAD KUZIWEKA KWENYE DVD......Natanguliza shukran
Mimi nataka kutumia pc yangu ku burn from vcr to dvd. Any idea which software should i use?
habari wadau mambo vipi jamani......kwa mara nyingine tena nilikuwa naomba msaada wenu maana nimeangaika nimeshindwa labda wadau hapa mtakuwa mnafahamu.............nilikuwa nimedownload video kutoka youtube sasa nilikuwa nataka niziamishie kwenye dvd lakini sasa mimi natumia realplayer lakini sasa hiyo realplayer inakataa kabisa kuburn inakubali kuburn only cd sasa kuna sotware nyingine zaidi ya hii realplayer ninaweza kutumia kuburn video nilizodownload kuziweka kwenye dvd......natanguliza shukran
Hapo amesema pia vcr inabidi uwe na deki pamoja na vifaa vingine vya kukuwezesha kufanya hivyo kwa msaada zaidi tembelea duka moja linaitwa kvd mtaa wa indira ghandi mjini dar es salaam wale ndio wanauza bidhaa hizo wataweza kukusaidia zaidi kutokana na mahitaji yako
Hata ungekuwa na software gani, huwezi kuburn DVD kama computer yako si DVD-enabled!!!! Vilevile kuburn DVD si kila CD inaburn DVD, inatakiwa uwe na DVD Empty CD au DVD Re-Writable (DVD- RW) CD. Mara nyingi computer na CD za kawaida zinaburn audio CD na VCD but not DVD. Tuko pamoja Yassin?
hujasema kama hizo video umeshaconvert kwenda katika format inayotakiwa kwa ajili ya kutengenezea dvd lakini hii inategemea zaidi na aina ya real player unayoitumia
Habari wadau mambo vipi jamani......Kwa mara nyingine tena nilikuwa naomba msaada wenu maana nimeangaika nimeshindwa labda wadau hapa mtakuwa mnafahamu.............Nilikuwa nimedownload video kutoka youtube sasa nilikuwa nataka niziamishie kwenye DVD lakini sasa mimi natumia Realplayer lakini sasa hiyo realplayer inakataa kabisa kuburn inakubali kuburn only CD sasa kuna sotware nyingine zaidi ya hii realplayer ninaweza kutumia kuburn VIDEO NILIZODOWNLOAD KUZIWEKA KWENYE DVD......Natanguliza shukran
Mimi nataka kutumia pc yangu ku burn from vcr to dvd. Any idea which software should i use?
Ntakusaidia, unataka kuziweka kwenye DVD ili uweze kuzicheza kwenye standalone DVD player(Deki ya DVD) au unataka kuziweka ili ucheze kwenye compyuta baadae?
Kama unataka kucheza kwenye DVD Player inabidi uziconvert kwenye apropriate format, na labda nikwambie kuwa probably zitakua quality mbaya kwasababu umezichukua youtube. Niambie kama unataka hili maana ni process ndefu kidogo.
Kama unataka kuzicheza kwenye PC baadade basi ni kuziburn tu. Tumia software hii ni bure Burn4Free CD and DVD - Free software downloads and reviews - CNET Download.com
Kuna clip mzuri sana jinsi ya kuconvert na kuburn youtubes videos, softwares ni free.
utahitaji software hizi kwa project yako.
1)Koyote Soft - ipod dvd converter
2) DVD Flick
how to work on your project visit Tinkernut.com
or search youtube "Convert YouTube Videos to DVD"
Naona hiyo DVD Flick ya Juakali itakutoa mzee.