Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Jun 9, 2023 #1 Maisha yana badilika yani leo Burna Boy ndio kumzidi kete show Davido. Picha ya kwanza video ya davido iliyotoka Uingereza Burna Boy akiwa kama msindikizaji
Maisha yana badilika yani leo Burna Boy ndio kumzidi kete show Davido. Picha ya kwanza video ya davido iliyotoka Uingereza Burna Boy akiwa kama msindikizaji
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jun 9, 2023 #2 Amemzidi kwenye kitu gani?
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Jun 9, 2023 #4 Ni kweli davido kaanza kutoka kabla ya fame aliyonayo sasa burnaboy. Iyo imeenda itabaki hivyo hivyo. Ila kwa sasa burna ni bora kuliko davido
Ni kweli davido kaanza kutoka kabla ya fame aliyonayo sasa burnaboy. Iyo imeenda itabaki hivyo hivyo. Ila kwa sasa burna ni bora kuliko davido
Vangigula JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 852 Reaction score 2,739 Jun 9, 2023 #5 Ulimwengu unatawaliwa na Law of Change. Ukiendelea kusoma ni lazima utamzidi mwalimu aliyekufundisha kindergarten.
Ulimwengu unatawaliwa na Law of Change. Ukiendelea kusoma ni lazima utamzidi mwalimu aliyekufundisha kindergarten.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Jun 10, 2023 #6 Sio kweli halafu burna boy kaanza kutoka kabla hata ya davido kuonekana kwenye kideo haifanyi kuwa alikua chawa wa david
Sio kweli halafu burna boy kaanza kutoka kabla hata ya davido kuonekana kwenye kideo haifanyi kuwa alikua chawa wa david
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Jun 10, 2023 #7 Nasubiri Harmonize amzidi Mondi