barcelonista
Senior Member
- Apr 26, 2021
- 158
- 149
Staa wa muziki kutoka Nigeria Burna Boy @burnaboygram amefanikiwa kuujaza ukumbi wa O2 Arena London Uingereza katika tour yake ya Space Drift. O2 inachukua watu 20,000. Kwenye IG yake Burna Boy ameandika, "Nimeujaza uwanja wa 02 Mwenyewe, kwa bei niliyotaka, kwa njia niliyotaka, sijaongea sana, nimefanya vitendo tu".
-
Burna Boy alikuwa onstage na wasanii Rema na Omah lay
African Giant🙌🙌
-
Burna Boy alikuwa onstage na wasanii Rema na Omah lay
African Giant🙌🙌