barcelonista
Senior Member
- Apr 26, 2021
- 158
- 149
You've said it all bro, bragging za kifala na ulimbukeni mwingi vimejidhihirisha.Majigambo kama ayo akifanya yule wa hapa kwetu mnamuona anajidai.
Ata ivyo huko kujitapa et kwa bei nilotaka na njia nilotaka ni kijidai kuliko pitiliza. Hajashukuru mashabiki kujitokeza kwa wingi hata na wale waliofanikisha event kwenda sawa
Namuona ni limbukeni wa mafanikio kwa izo kauli zake
Taifa ni stadium na ile ni arena.Kwan taifa inachukua watu wangapi nasi tukaijaze.
20000 n watu wachache sana
😄Taifa ni stadium na ile ni arena.
Kama hujui hilo ni dongo kwa Davido,,,Wakwetu akajaze hatakama ataleta majigambo atakuwa kafanya jambo kubwa kidunia kwenye muziki.Majigambo kama ayo akifanya yule wa hapa kwetu mnamuona anajidai.
Ata ivyo huko kujitapa et kwa bei nilotaka na njia nilotaka ni kijidai kuliko pitiliza. Hajashukuru mashabiki kujitokeza kwa wingi hata na wale waliofanikisha event kwenda sawa
Namuona ni limbukeni wa mafanikio kwa izo kauli zake
Wizkid namba chafu🙌burna ameanza kulewa fame.
anyway ni mkali.
wizkid alisold out in 12 minutes lakini hakutupa tambo kama hizi.
ni muda wake
dakika 12 ameuza tiketi zote za O2 Arena lkn kimyaaaaa,,,,Kidayo🙌Acha ajifanye kachangamka lakin atomfikia wizkid
hahaha Wiz hatari??Acha ajifanye kachangamka lakin atomfikia wizkid
Wizkid ni legend kitambo.... burna majigambo tuAcha ajifanye kachangamka lakin atomfikia wizkid
Kwa zile shoo za bure za wasafi?Kwan taifa inachukua watu wangapi nasi tukaijaze.
20000 n watu wachache sana
Hii jeans anaipendaStaa wa muziki kutoka Nigeria Burna Boy @burnaboygram amefanikiwa kuujaza ukumbi wa O2 Arena London Uingereza katika tour yake ya Space Drift. O2 inachukua watu 20,000. Kwenye IG yake Burna Boy ameandika, "Nimeujaza uwanja wa 02 Mwenyewe, kwa bei niliyotaka, kwa njia niliyotaka, sijaongea sana, nimefanya vitendo tu".
-
Burna Boy alikuwa onstage na wasanii Rema na Omah lay
African Giant🙌🙌
View attachment 1913989
Msubiri Baba Levo aje kukujibu 😀Staa wa muziki kutoka Nigeria Burna Boy @burnaboygram amefanikiwa kuujaza ukumbi wa O2 Arena London Uingereza katika tour yake ya Space Drift. O2 inachukua watu 20,000. Kwenye IG yake Burna Boy ameandika, "Nimeujaza uwanja wa 02 Mwenyewe, kwa bei niliyotaka, kwa njia niliyotaka, sijaongea sana, nimefanya vitendo tu".
-
Burna Boy alikuwa onstage na wasanii Rema na Omah lay
African Giant🙌🙌
View attachment 1913989