Burna Boy ana record kubwa balaa

Katika nyimbo zooote nilizosikiliza za Burna boy nyimbo ninayoikubali ni DANGOTE.Ile ni balaa saaaana kwangu.
 
..na kingine hata ufuatilie vipi wasanii huwezi kuwajua wote utastukia tu siku unaambiwa "ah wewe humjui fulani mbina ni msanii mkubwa tu" na muda huo unafuatilia muziki nje ndani
Kabisa mkuu hata uwe mfuatiliaji vipi wa music hauwezi ukawajua wasanii wote wa kali, na hii dunia ina wasanii wengi sana wazuri kwenye genres tofauti tofauti.

Ni bahati mbaya sana katika hii dunia media ndio kila kitu, hili msanii yeyote ajulikane kuwa ni msani ni lazima tumskie kwenye media.

Na hili ajulikane kuwa ni msanii mkali basi ni lazima kazi zake tuziskie mara kwa mara kwenye media. Kinyume na hapa tutamuona ni wa kawaida tu haijalishi uzuri wa nyimbo zake ukoje.

Asikwambie mtu hii dunia ina wasanii wakali sana tusiowaju ambao ni bora kuliko hata hao tuliokwisha aminishwa na media outlets kuwa ni wakali.

Mfano ni rapper anaeenda kwa jina la Hopsin, huyu ni rapper mwenye uwezo mkubwa sana kuliko marapa wote unaowajua wewe waliowahi kutokea hapa duniani.

Inasemekana kuna vitu anavyo kwenye utunzi wake wa mashairi ambavyo hata 2pac alikuwa hana! Lakini kutokana na sababu nilizokwisha elezea hapo juu ni wachache sana wanaomjua.

Jarida la Alternative Press liliwahi kum rank kama rapper bora wa muda wote baada ya kutoa ngoma yake ya ill-mind of hopsin 2.

Jamaa uandishi wake ni wa kipekee sana yaani ni mtu anayetumia akili nyingi sana kwenye uandishi na ukizoea kumsikiliza hutaona haja ya kuskiliza trash music za hawa akina Burna boy.

Angalia haya mashairi ya ngoma yake ya Fly yatakufungua kuhusu mambo mengi sana ikiwemo elimu uliyoipata darasani..

Hopsin – FLY
[Intro]
I was taught that education is the only way to make it
Then how'd I get so much money inside my savings?
My teachers never saw the heights that I was fuckin' aimin'
Did the man who invented college go to college? Hm, okay then
Am I the only one that noticed humans on the same shit?
Y'all thoughts are sailin' on the same ship
And if that's the case, then that's the reason that you ain't shit
Let me enlighten you, my niggas, just let your brain drift

[Verse 1]
First of all, the best type of marketin'
Is marketin' that doesn't feel like marketin'
It makes the people feel like they a part of it
And when it's done right, corporations think it's marvelous
They feed us these ideas and then we place 'em in our hearts to sit
It's why players are good at gettin' chicks
It's why Nike is good at sellin' kicks
It's why Disney is loved by all the kids
Why McDonald's owners are super rich
We're too blinded to ever see 'em pitch
See, when this happens we take our health
Wealth, lives, and just hand them off
Thinkin' that we did this from organic thoughts
I know you seen parents trick kids
With candy, toys and Santa Claus
The same method is used to trap adults
But instead of candy it's with money, religion, drugs and alcohol
Mention that shit and it's gon' arouse us all
I done seen niggas get into fights
Over cigarettes like a pack of dogs
They get you hooked and then they laugh at y'all

[Hook]
I really hate to break it to you
But your life's being played with
You have not witnessed the world
'Cause you're stuck in the Matrix
Everything we have been taught was all a lie
Open your eyes, open your mind, and fly!

[Verse 2]
Man, can't you see we're robots
Who know not what we do and we got no shot
In the real world until we climb out of this ice-cold box
Your whole life has been part of a whole plot
To keep you at the bottom while they on top
Stay quiet, then they won't stop
They always tryna show us what we don't got
They do it to all of us 'til we finally break and go cop a gold watch
Knowin' we need the cash for rent, my ass is sick
Just thinkin' about how rich and powerful all these bastards get
They package ideas like it's oxygen
They make us feel like if we ain't got it we're fucked and we cannot fit in
This fuckin' system is not your friend
And understand they controllin' your thoughts 'cause they got a lot to win
Niggas get turned away when I mention this
Ignorance is bliss, but I don't give a https://jamii.app/JFUserGuide, I won't censor shit
The Matrix is real and you done entered it
It's way too intricate for you to ever realize it you fuckin' simpleton

[Hook]
I really hate to break it to you
But your life's being played with
You have not witnessed the world
'Cause you're stuck in the Matrix
Everything we have been taught was all a lie
Open your eyes, open your mind, and fly!

[Verse 3]
Yo, https://jamii.app/JFUserGuide Hollywood! https://jamii.app/JFUserGuide all these reality shows!
Makin' us feel lame unless we blowin' stacks on new clothes
Makin' us feel like we ain't cool unless we have a few hoes
Makin' us feel like we ugly unless we have a new nose
I see naturally beautiful women get Botox, fake tits
Fake lips, they so brainwashed and it doesn't make sense
Focus on your life and the path you're pursuin'
'Cause y'all too busy worried about what Kim Kardashian's doin'
Check it, most of this shit that you sheep are watchin' on television
Is fake as https://jamii.app/JFUserGuide and is not real, I rebel against it
It's the Devil's business, they just reel y'all in
If they say it we do it, yo I'm tryna tell y'all, man
The system created the stereotype for the Black image
That's why my people are scared to be different
Why don't you get it? I'm done practicin' these ridiculous rituals
It's time I become a real individual and just do me

[Hook]
I really hate to break it to you
But your life's being played with
You have not witnessed the world
'Cause you're stuck in the Matrix
Everything we have been taught was all a lie
Open your eyes, open your mind, and fly!

[Outro]
Use your mind, be yourself
Don't blame nobody else but you
You and the meaning of life
Has no rules, no rules, no rules
Fly away! Fly away! Away, away, away!
Life's too short not to live it
The world is all yours, come get it
Just go and get it, it's beautiful
 
Jamaa ana ngoma inaitwa #simmer kashirikishwa na demu anaitwa Mahalia.....its a banger[emoji91]
 
Mziweke sasa na hapa tuzione hizo nyingine😴
 
"Any body" Moja ya ngoma kali katika album yake Africa Giant
 
Burna Boy nimeanza kumjua kwenye All Eyes on Me na AKA..by the way Yawa Dey naikubali sana hii song.
Mi nimempata toka anaingia kwenye game....ile ngoma yake ya mwanzoni nadhan mwaka 2012 ya 'like to party' ni moja ya ngoma tamu mpaka leo huwa naiskiliza....itafute utanambia....ngoma tam sana ile
 
Nimefatilia concerts zake za Toronto October na ile ya juzi hapo Wembley ambayo imemfanya kuwa Muafrika wa kwanza kuuza tiketi zote za tamasha.
Jamaa huyu ni hatari sana.
Kwanza anajua sana kuperform.
I wish hawa wasanii wetu wangekuwa na uwezo karibia wake wa kuperform.

Hakukosea kujiita African Giant.
 
Kuja kutokea Muafrika mwingine kuvunja rekodi ya performance aliyoiweka pale Wembley itachukua miongo kadhaa.
 
Wewe anakujua nani? au shobo?
 
November 29 ntakuwepo next door arena ,nikisikiliza mziki mzuri (napenda mziki mzuri)

Ukiniona tusisahau kupatiana ata salamu na kupiga story mbili tatu
 
Turudi kwako wewe umevunja rekodi gani mpaka sasa?
Rekodi zangu hazikuhusu.Jifunze kutofatilia mambo ya watu usiowajua.Itakusaidia sana kujikita katika utatuzi wa changamoto zinazokuzunguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…