Burna Boy deserves the Grammy Award but illiteracy denied him – Naomi Campbell

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,037
Reaction score
24,637
Renowned British model Naomi Campbell has reacted to the 2020 Grammy Awards that saw Beninese singer-songwriter Angelique Kidjo bests Nigeria’s Burna Boy and others to winning the Best African Album category. The supermodel congratulated Angelique

First, I want to say deepest congratulations to @angeliquekidjo for her award on Sunday, and thank you to you for spreading light and opening minds through your music… •

She advises the Grammy organizers to get in-depth knowledge of African music as it’s quite wrong putting all African music under one category when different artists excel in different genres of music.

Kipengele hiki ndiyo kimenisikitisha sana...👇👇👇👇👇👇👇👇👇


She advises the Grammy organizers to get in-depth knowledge of African music as it’s quite wrong putting all African music under one category when different artists excel in different genres of music.

Ni kipengele hiki ambacho kimeua aina ya muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania na kwenda kuparamia muziki wa Nigeria. Ni kipengele hicho ambacho Nigeria kafanikiwa kuu ptomote Muziki wake kuasi cha kuonekana kwamba Muziki wa Ki-nigeria ndiyo unawakilisha uafrika, kiasi cha kuonekana ni kigezo muhimu ili uonekane katika levels za kimataifa basi yakupasa uweke nakshi za kinaigeria latika wimbo wako au ushirikiane na wanaigeria.

Hii imepelekea Nigeria kujiona kwamba wao ndiyo kituo na nembo ya burudani barani Afrika.
Kama ushauri wa Naomi Campbell utafanyiwa kazi basi itakuwa ni fursa muhimu kwa wanamuziki wa kiafrika ku shine zaidi globally na Afrika kuonrkane kwa upana wake na pride yake ya kuwa na mult genre, badala ya hsli inayijijenga hivi sasa kwamba ukitaka kuiangalia au kuijua Africa basi iangalie Nigeria.
 
Wkt Tupac,Nas,kat perry,Snoop Dogg,Nick Minaj etc hawajawahi kupata tuzo ya grammy hata moja tu.

dodge
inategemea na category ambazo wanawekwa pia na ubora wa watu wanaoshindana nao katika wakati huo..je nimkubwa au nimdogo au wawastani
 
Huyo mama kwa Africa yupo vizuri,anapiga show kwenye kumbi ambazo hata akina Burnaboy hawapigi.
Kupiga show tu haitoshi ...anapaswa kuwa na HIT songs zinazo trend ili aendelee kudhihirisha ubora wake

BTW_Burna amekuwa akimcopy sana huyo mama na fela kutti....so huwa anasafiria vivuli vyao katika track zake
 
Tupac,Nas wanaweza kua wadogo boss kwny category zao?

dodge
haujanielewa.... namaanisha watu ambao walikuwa nao kwenye competition katika wakati huo wa tuzo walikuwa na ngoma hits kiasi gani ?...siwajua kuwa tuzo hazitolewi kila mwezi yaweza kuwa kipindi ambacho zinakaribia kufanyika labda ilikuwa nimsimu ambao hao wasanii tajwa hawajaachia hit song katika wakati huo........
 
Kupiga show tu haitoshi ...anapaswa kuwa na HIT songs zinazo trend ili aendelee kudhihirisha ubora wake

BTW_Burna amekuwa akimcopy sana huyo mama na fela kutti....so huwa anasafiria vivuli vyao katika track zake
Huyo mama kipindi cha nyuma tuzo kubwa Africa zilikuwa za KORA alikuwa anashindana na kina Kofi Olamide.

Hit anazo ila mziki wake umekaa kiculture zaidi,vijana wa siku hizi kuzielewa ni ngumu,ila wazungu wanazikubali sana.
 

Na hapo usisahau P Diddy ameshashinda tuzo 3 za Grammy.

dodge
 
Tuzo walioshindania ni ya album.
Huyo kidjo hiyo album yake ina mafanikio yepi? Maana ukiangalia tu east afrika sidhani kuna anaejua kama katoa album, achilia mbali hit song yoyote kwenye hiyo album!!!

Hawa waandaaji wa grammy wanaangalia "mziki bora unaowakilisha afrika" kwa mtizamo wao watoa tuzo, si mziki ulioko juu na kukubalika sokoni kama ilivyo kwa tuzo nyingine.

Haiingi akilini wampe kidjo ambae teyari alishapata grammy mara kadhaa huko nyuma na kumuacha burna ambae ingekuwa ya kwanza kwake. Kuna kitu hakiko sawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…