Burna Boy kwenye albamu ya Justin Bieber

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785

Mkali kutoka nigeria burna boy hii wiki imekua ya neema sana kwake baada kushinda Tuzo ya Grammy,na siku ya Jana mkali justin Bieber ameachia album yake yenye nyimbo 16 moja kati ya ngomq hizo amemshirikisha mkali wa Africa burna boy . Nyimbo inaitwa loved by You
 
Huyo mwamba yupo level nyingine kabisa, kama kaweza kufanya kazi na Ed Sheeran, Sia , Stormz na Becky G basi ataendelea kufanya kazi nyingi zaidi huko duniani.

Sisi acha tuendelee kushindania views za youtube!
 
Kama DAVIDO ambavyo anashindana views[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ile nyimbo ya Peaches -Bieber ile verse ni kaliiiiiiiiiiiiii....

Ila album yake ni kali.
 
Yeyeyeye yeye mh anhaa yeyeeh.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kid Ayo!
Wizkid ndiyo msanii wangu bora kutoka Africa (no matter what) na hiyo ngoma "Come Closer" ni one of the best records from Africa. Burna Boy kwa Kid Ayo haingii.
 
Safi kabisa

Sio akina sie tunaoshindana na akina shishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…