Burna Boy, ni msanii mkubwa kuliko wote Tanzania. Mafanikio yake ni ''level'' za Marekani

Burna Boy, ni msanii mkubwa kuliko wote Tanzania. Mafanikio yake ni ''level'' za Marekani

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu

Naweka picha za show yake ya Sweden tuseme ukweli wasanii wetu wakienda huko wanaweza kupata watu wengi kiasi hicho? Au tuendelee kukomaa na Burundi tu wanakotuelewa.

IMG_1121.jpg

IMG_1120.jpg

IMG_1119.jpg
 
Uliloliongea ni kweli

Lakini Kwa hiyo sentence Yako "kuliko wote Tanzania" inaonyesha wazi unachuki zidi ya diamond platnumz

Kitu ambacho diamond au mimi binafsi hakiniumizi

Ushauri wangu mwanume fuga hela hizi chuki za kipumbavu zidi ya watu ambao hata hawajui ka unaexist hazitokupeleka popote
 
Diamond Platnumz ndio msanii Bora kupita. Wote kwenye Dunia ya waswahili na ulimwengu kwa ujumla.

Ngoja tusapoti vya nyumbani
 
Uliiona show ya Diamond
Huko Melbourne Australia? au mahaba yako yako kwa Burna boy
Domokayaaaa hata Rema hamfikii, ndo amfikie Burna mwenye Grammy awards?
Nyiee machawaaaaa mmedata sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uliloliongea ni kweli

Lakini Kwa hiyo sentence Yako "kuliko wote Tanzania" inaonyesha wazi unachuki zidi ya diamond platnumz

Kitu ambacho diamond au mimi binafsi hakiniumizi

Ushauri wangu mwanume fuga hela hizi chuki za kipumbavu zidi ya watu ambao hata hawajui ka unaexist hazitokupeleka popote

mkuu umejuaje hana hela??

mambo ya kumwambia mtu atafute hela bila kusema mpaka shingapi sio sawa.
 
Domokayaaaa hata Rema hamfikii, ndo amfikie Burna mwenye Grammy awards?
Nyiee machawaaaaa mmedata sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Rema, kizz daniel wengine wengi
 
Back
Top Bottom