Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

Burna Boy Africa Giant.......Kila mtu ana 'era' yake na miaka ya hivi karibuni ndo anakimbiza yeye....muda wake wake huu...walikuwa kina Patoranking,RunTown,skales,korrede bello,Maleek Berry,Eazy... e.t.c!.
Ila Wiz Kid usimlinganishe na hao!Kila 'era' yupo hajawahi kuyumba...Baba Nla!Star Boy
 
StarBoy
 
Yeah star boy ni noma....au unamlinganisha na Burna boy sababu Burna boy kaingia kwenye Grammy awards....ila kumbuka hata wiz kid alishawahi kuingia....(Nirekebishe Kama kumbukumbu zangu haziko sahihi)
Mwaka upi Bro StarBoy aliwahi kuwa nomination au kupitia Album ya Drake-Views. Coz alihusika kwenye One Dance
 
Yah ndo maana nimesema unirekebishe Kama nimekosea...!ok....Nimekumbuka aliingia kupitia views......Na come closer iliingia kwenye nomination gani kubwa...?
sema Starboy bhana Ananata sana. Anatembea na kila aina ya biti. Alafu ana njaa sana sio mtu wa kuridhika. Davido pia fighter sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…