Uzi huu ni maalum kwa ajiri/li ( Faiza Foxy nisaidie usahihi wa hilo neno) ya nyimbo, muziki,ngonjera,mashairi, filamu, hotuba zinazochangamsha wasikilizaji na kila jambo linalohusu burudani juu ya historia ya Afrika.
Kwa leo Naanza na ngoma ya kutoka Ukerewe. Ngoma inaelezea Uhuru wa Zimbabwe.