canaan Member Joined Mar 1, 2008 Posts 46 Reaction score 6 Jul 10, 2011 #1 Wakuu mlio kuwepo tujuzeni,nani alikuwa mshindi kati ya hao wawili huko mbeya?
Mkare_wenu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 1,714 Reaction score 448 Jul 10, 2011 #2 Tatizo ni kwamba walioenda Fiesta walimiss Burudan Nyumban and viceversa,so inakuwa ngumu kutoa ushuhuda
Tatizo ni kwamba walioenda Fiesta walimiss Burudan Nyumban and viceversa,so inakuwa ngumu kutoa ushuhuda